Jumapili hupatiHabari Wana jf
Nipo apa kuomba msaada juu ya kupata dawa za PEP kwa apa dar es salam kwa siku ya leo
Na kwa hospital za private jeNenda hospital na hela ya kumpoza daktari ama mtu wa pharmacy akupatie
Acha kuuuza uza mechi kijana nchi imeshanuka hii
Mwananyamala hospitalHabari Wana jf
Nipo apa kuomba msaada juu ya kupata dawa za PEP kwa apa dar es salam kwa siku ya leo
Na kwa hospital za private je
Sipafahamu Ila mimi nipo maeneo ya riversidemwananyamala hospital
Hapo ulipo hakuna watu wa kuwauliza wakuelekeze?Sipafahamu Ila mm nipo maeneo ya riverside
Ungekua Iringa ningekupatia Mapema Sana Kijana..Pole Sana KijanaHabari Wana jf
Nipo apa kuomba msaada juu ya kupata dawa za PEP kwa apa dar es salam kwa siku ya leo
Ungekua iringa Ningekupatia Mapema Sana Kijana..Pole Sana Kijana
Asantee sanaUngekua iringa Ningekupatia Mapema Sana Kijana..Pole Sana Kijana


Hapa napokaa sitaki wajue kama naenda hospital napata ugumu kuwaulizaHapo ulipo hakuna watu wakuwauliza wakuelekeze?
Si waambie unataka kwenda kuangalia mgonjwa Mwananyamala Hospitali, Kisha waulize ulipo? Wewe ni wawapi wewe? Ndio maana umeuza mechi bila hata ya malipo.Hapa nipokaa sitaki wajue kama naenda hospital napata ugumu kuwauliza
Hupewi PEP bila kupimwa ngwengwe Kwanza. Jiandae kisaikolojia, ukikutwa unayo bhaasi imeisha hiyooo unapewa referral kwenda kuanza ARVs hapo ndo mnakutana wengiiii kama club flan hv yaan full kuchoreshana, mpaka unajutaaaHabari Wana jf
Nipo apa kuomba msaada juu ya kupata dawa za PEP kwa apa dar es salam kwa siku ya leo
Inaonekana huyu ameuza mechi leo, sasa akipimwa leo; ile window period si itakuwa bado?Kikubwa ni lazima upimwe kwanza. Jiandae kupima.
kweli awai sasaiviNenda mwananyamala omba kuonana na Dr..kisha mwambie ukweli umpe na 15 elfu umwambie atapoza maumivu