Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,198
- 1,289
Hi wakuu, niliomba kazi shirika moja la wabeligiji, Sasa leo nimetumiwa email, kuwa inabidi niambatanishe CCCR, na form ya entry stuff, wameweka link mbili jinsi yakupata iyo certificate
Lakini Cha kushangaza hiyo tahasisi inayotoa iyo certificate Ni kuwa lazima ulipie,na hela Sina
Nawezaje kupata free CCCR
Karibu
View attachment 2321118
Lakini Cha kushangaza hiyo tahasisi inayotoa iyo certificate Ni kuwa lazima ulipie,na hela Sina
Nawezaje kupata free CCCR
Karibu
View attachment 2321118