the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Habari za majukumu,
Kuna note 4 ambayo ina custom version ya android 5.1.1 hivyo inakataa kwenda android six kwa kupitia OTA, naomba msaada wa kupata official android 6.0.1 ya note SM N910H ili niidownload na kuinstal kwa kutumia Odin.
Nimejaribu kutafute online nazikuta ila natakiwa nijisajili ndio ni download na ninapofanya hivyo link ya kudownload sipewi takribani wiki sasa, mwenye download link ya moja kwa moja nitashukuru sana.
Ahsanteni sana