busmaster
Senior Member
- Jul 7, 2017
- 115
- 67
Inawezekana kushare jf?share sana kwenye social networks kama facebook,jf,twitter,google+ n.k kwa kuweka link i hope hiyo njia itakuongezea traffic
inategemea na aina ya mada/topic yako unaweza kuleta kama uzi hapa jf mwishoni ukaweka link ya website yako watu wakajifunze zaidi huko.
Tena awe ana-share mambo ya kikubwa na udaku....hahahahaaaa hapo lazima blog yake iwe busy kwa hawa wazee wa makinikia wanapenda sana udaku na uongo uongoshare sana kwenye social networks kama facebook,jf,twitter,google+ n.k kwa kuweka link i hope hiyo njia itakuongezea traffic