kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,479
- 5,068
Mwone dokta.
Habar zenu wataalamu kwa tatizo linalomsumbua mtu kama huyu . la kuongeza mbegu za kiume na ubora wake . je afanyaje kutibu ila alikuwa ni mtu wa kupiga nyeto sana kila siku hata 4 kwa siku alipiga . sasa kuhusu tiba ya nguvu za kiume kuna dawa nilimsadia alipona ( japo sio dawa ya mitishamba ni mfumo flan wa vyakula na mazoez niliibia baadhi ya material ya @mzizmkavu na wadau wengine hapa had kapona na game anapiga vizur kama zamani) . kwenye kuongeza sperm nisiwe muongo nimeshindwa kumshaur vizur nikaona niletee hapa hili jambo . jf ni kisiwa cha maarifa . afanyaje
Vipimo vya hospital alienda kupima rufaa mbeya na kufanya sperm analysis na haya hapo chini ndiyo majibu ya vipimo
Macroscopically : About 3.2m/s of normal looking seminal fluid
Viscosity:- Normal
Motility: Quantitative : 40% motile spermatozoa
Qualitative : poor forward progressive spertmatozoa
Sperm count : 1.8 million/ed
Micro:
The smear showed spermatozoa with micro head and spermatide at different stage of maturity
Cond
1.poor forward mortality
2.oligosperma
3.poor morphology
Nasubir majibu yenu asanten
kunywa vidonge vya vitamini, doz ya mwezi mmoja..

Mkuu pole kwa hayo Matatizo uliyokuw anayo nitafute mimi nikupe dawa uwe na Sperm nyingi.Habar zenu wataalamu kwa tatizo linalomsumbua mtu kama huyu . la kuongeza mbegu za kiume na ubora wake . je afanyaje kutibu ila alikuwa ni mtu wa kupiga nyeto sana kila siku hata 4 kwa siku alipiga . sasa kuhusu tiba ya nguvu za kiume kuna dawa nilimsadia alipona ( japo sio dawa ya mitishamba ni mfumo flan wa vyakula na mazoez niliibia baadhi ya material ya @mzizmkavu na wadau wengine hapa had kapona na game anapiga vizur kama zamani) . kwenye kuongeza sperm nisiwe muongo nimeshindwa kumshaur vizur nikaona niletee hapa hili jambo . jf ni kisiwa cha maarifa . afanyaje
Vipimo vya hospital alienda kupima rufaa mbeya na kufanya sperm analysis na haya hapo chini ndiyo majibu ya vipimo
Macroscopically : About 3.2m/s of normal looking seminal fluid
Viscosity:- Normal
Motility: Quantitative : 40% motile spermatozoa
Qualitative : poor forward progressive spertmatozoa
Sperm count : 1.8 million/ed
Micro:
The smear showed spermatozoa with micro head and spermatide at different stage of maturity
Cond
1.poor forward mortality
2.oligosperma
3.poor morphology
Nasubir majibu yenu asanten
Ok ila cha msingi ni kumsaidia kama unaweza kufanya hivyo bila kujali kama mwenye tatixo ni yeye au mtu mwingine!!Siyo jamaa fulani unayemuongelea hapo.
Bali anayeongelewa stori nzima hiyo ni wewe mwenyewe.
Kuwa muwazi unapoandika. Ngoja wataalamu waje kukusaidia.
Huyu akipona atavuruga mabinti kijiji kizima mpaka atarogwa.Kwanza kupiga Nyeto 4times a day huo ni uongo na nikitu ambacho hakiwezekani! Wacha uongo.
Nilikuwa natafuta comment yakoSiyo jamaa fulani unayemuongelea hapo.