Msaada kuongeza kiwango cha mbegu za kiume

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,479
5,064
Habar zenu wataalamu kwa tatizo linalomsumbua mtu kama huyu . la kuongeza mbegu za kiume na ubora wake . je afanyaje kutibu ila alikuwa ni mtu wa kupiga nyeto sana kila siku hata 4 kwa siku alipiga . sasa kuhusu tiba ya nguvu za kiume kuna dawa nilimsadia alipona ( japo sio dawa ya mitishamba ni mfumo flan wa vyakula na mazoez niliibia baadhi ya material ya @mzizmkavu na wadau wengine hapa had kapona na game anapiga vizur kama zamani) . kwenye kuongeza sperm nisiwe muongo nimeshindwa kumshaur vizur nikaona niletee hapa hili jambo . jf ni kisiwa cha maarifa . afanyaje

Vipimo vya hospital alienda kupima rufaa mbeya na kufanya sperm analysis na haya hapo chini ndiyo majibu ya vipimo

Macroscopically : About 3.2m/s of normal looking seminal fluid

Viscosity:- Normal

Motility: Quantitative : 40% motile spermatozoa
Qualitative : poor forward progressive spertmatozoa

Sperm count : 1.8 million/ed

Micro:
The smear showed spermatozoa with micro head and spermatide at different stage of maturity

Cond
1.poor forward mortality
2.oligosperma
3.poor morphology

Nasubir majibu yenu asanten
 
Kula dona marakwa mara na mboga,za majani dagaa,karoti mbichi,matunda,juice ya kutengenezwa local made juice,,achana na chips minyama haina mpango..mtindi na ugali.majimengi..mazoezi kidogo utabadilika
 
ngoja wataalam waje!karanga mbichi usihau kutafuna mkuu ni mchezo wa meno lakini una faida sana
 
.
Habar zenu wataalamu kwa tatizo linalomsumbua mtu kama huyu . la kuongeza mbegu za kiume na ubora wake . je afanyaje kutibu ila alikuwa ni mtu wa kupiga nyeto sana kila siku hata 4 kwa siku alipiga . sasa kuhusu tiba ya nguvu za kiume kuna dawa nilimsadia alipona ( japo sio dawa ya mitishamba ni mfumo flan wa vyakula na mazoez niliibia baadhi ya material ya @mzizmkavu na wadau wengine hapa had kapona na game anapiga vizur kama zamani) . kwenye kuongeza sperm nisiwe muongo nimeshindwa kumshaur vizur nikaona niletee hapa hili jambo . jf ni kisiwa cha maarifa . afanyaje

Vipimo vya hospital alienda kupima rufaa mbeya na kufanya sperm analysis na haya hapo chini ndiyo majibu ya vipimo

Macroscopically : About 3.2m/s of normal looking seminal fluid

Viscosity:- Normal

Motility: Quantitative : 40% motile spermatozoa
Qualitative : poor forward progressive spertmatozoa

Sperm count : 1.8 million/ed

Micro:
The smear showed spermatozoa with micro head and spermatide at different stage of maturity

Cond
1.poor forward mortality
2.oligosperma
3.poor morphology

Nasubir majibu yenu asanten
Mwone dokta
 
Mkuu,kuna jukwaa la mambo ya afya,linaitwa JF DOCTOR,huku utalishwa upupu.May be Moderator ataupeleka huko Uzi huu

Huku hapa unaweza kuambiwa ununue mbegu za mahindi na mbolea ya kupandia
 
.
Habar zenu wataalamu kwa tatizo linalomsumbua mtu kama huyu . la kuongeza mbegu za kiume na ubora wake . je afanyaje kutibu ila alikuwa ni mtu wa kupiga nyeto sana kila siku hata 4 kwa siku alipiga . sasa kuhusu tiba ya nguvu za kiume kuna dawa nilimsadia alipona ( japo sio dawa ya mitishamba ni mfumo flan wa vyakula na mazoez niliibia baadhi ya material ya @mzizmkavu na wadau wengine hapa had kapona na game anapiga vizur kama zamani) . kwenye kuongeza sperm nisiwe muongo nimeshindwa kumshaur vizur nikaona niletee hapa hili jambo . jf ni kisiwa cha maarifa . afanyaje

Vipimo vya hospital alienda kupima rufaa mbeya na kufanya sperm analysis na haya hapo chini ndiyo majibu ya vipimo

Macroscopically : About 3.2m/s of normal looking seminal fluid

Viscosity:- Normal

Motility: Quantitative : 40% motile spermatozoa
Qualitative : poor forward progressive spertmatozoa

Sperm count : 1.8 million/ed

Micro:
The smear showed spermatozoa with micro head and spermatide at different stage of maturity

Cond
1.poor forward mortality
2.oligosperma
3.poor morphology

Nasubir majibu yenu asanten
kunywa vidonge vya vitamini, doz ya mwezi mmoja.
 
Mkuu pole kwa hayo Matatizo uliyokuw anayo nitafute mimi nikupe dawa uwe na Sperm nyingi.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Mfungaji hodari wa Chaputa FC!,gori 4 kambani kwa siku daaah we mkali,Messi/Ronardo wanasubili...
 
Mkuu unapiga nyeto mara 4 kwa siku? Hiyo mb.o imeota sugu utasikia utamu wa k kweli? Acha kusingizia wengine.
 
Chukua karanga mbichi zioshe afu zianike changanya na chunvi wakati wa kula zichanaganye na asali kwenye kikombe cha nusu lita au maziwa fresh kula asubuhi kabla ya chai na jioni kabla ya chakula kwa wiki nzima mfululizo bila kukutana kimwili na mkeo afu utaleta mrejesho NOTE haitibu nguvu za kiume Bali inaongeza ujazo wa manii
 
Sio wanaume wengi wana ujasiri wa kuongelea jambo hilo ila ni tatizo kubwa kwenye jamii. Nilikuwa na miaka mitano kwenye ndoa bila ya kupata mtoto. Well I had a similar problem. Afadhali wewe una 40% Mimi zilikuwa 10%. Doctor alinipa dawa aina mbili to take for 90 days Oligocare na Addyzoa. Pia niliambiwa nipunduze uzito kwani nilikuwa mnene kiasi. I now have two beautiful daughters.
 
Kwanza kupiga Nyeto 4times a day huo ni uongo na nikitu ambacho hakiwezekani! Wacha uongo.
 
Huyu akipona atavuruga mabinti kijiji kizima mpaka atarogwa.

Cha msingi aende hospitali tu,tatizo linatibika
 
Chukua mayai matatu ya kuku wa kienyeji pasua changanya na Asali vijiko vitatu....kunywa huu mchanganyo kwa siku saba....bro utakuwa umepona kabsaaaa....karanga ni sound tu zina mafta na mafuta sio yote yanayotumika mwilini....na matokeo yake ni kuziba mirja ya kutolea manii!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom