Msaada: Kuongeza kilometres kwenye gari

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
20,641
32,380
Habari wanajamvi
Ninaomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kupeleka mbele kilometres za gari(sedan cars).
Nina fahamu watu wengi wanarudisha nyuma kilometres za Gari kwa sababu mbalimbali, hivyo mm ninaomba kuelekezwa jinsi ya kuongeza kilometres( Nina sababu zangu)
Kwa anayefahamu ninaomba sana kuelekezwa.
Natanguliza shukrani
 
Huwezi rudisha nyuma mileage ila unaweza sogeza mbele wanatumia DC motor wana conect kwnye gear shift pale kuna wataalam wa umeme wanafanya hvo
 
Mkuu, ebu shusha nondo kidogo, ningependa kujua hiyo makinikia
 
Huwezi rudisha nyuma mileage ila unaweza sogeza mbele wanatumia DC motor wana conect kwnye gear shift pale kuna wataalam wa umeme wanafanya hvo
ndio nataka kusogeza mbele kilometres, hebu fafanua jinsi inavyofanywa
 
Huwezi rudisha nyuma mileage ila unaweza sogeza mbele wanatumia DC motor wana conect kwnye gear shift pale kuna wataalam wa umeme wanafanya hvo
Mkuu sio kweli km zinarudishwa na kupelekwa mbele mkuu.
 
Habari wanajamvi
Ninaomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kupeleka mbele kilometres za gari(sedan cars).
Nina fahamu watu wengi wanarudisha nyuma kilometres za Gari kwa sababu mbalimbali, hivyo mm ninaomba kuelekezwa jinsi ya kuongeza kilometres( Nina sababu zangu)
Kwa anayefahamu ninaomba sana kuelekezwa.
Natanguliza shukrani
Mkuu ni gari aina gani unataka kufanya.hivyoo na je inatumia.cluster ya aina gani digital or analog?

Kama cluster ya digital unahitaji mashine maalum ya kufanyia.shughuli hiyo au inatakiwa uwe na eeprom socket,adapter then uwe na softwere kama ya ponyprog.
Kama cluster ni ya digital nambie nikupe maalifa na elimu zaidi kuweza kufanikisha zoezi lako.

Na kama cluster yako ni ya analog basi ni kitendo kirahisi sana.hapo kuna njia mbili kufungua dash board au kutolifungua.

Toa jibu cluster yako ni digital or analog ili upewe majibu mubashara
 
gari ni verossa, cluster ni digital!nipe maarifa
 
Unauelewa kidogo na ufundi mkuu.

Maana njia nitakayokupa lazima uwe na uelewa wa ufundi kidogo.

Kama kufungua cluster kabisa kulitenganisha.
Uwe unaweza kufanya solder .
Uwe unaweza kutumia jiko.

Uwe unaweza hesabu.za hexdecimal.

Hiyo ni njia cheap.

La sivyo uwe na mashine za kufanyia kazi hiyo.

Kama huna nitafute mm namashine naweza kukusaidia kazi yako.na nitakufundisha ukitaka.
 
Mimi najua...nimeshaa wafanyia wengi.

Vipi nawewe ndio walewale walio/wanao dangaya wamefanya safari..

Tutagawana hiyo milage allowance..
 
Habari wanajamvi
Ninaomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kupeleka mbele kilometres za gari(sedan cars).
Nina fahamu watu wengi wanarudisha nyuma kilometres za Gari kwa sababu mbalimbali, hivyo mm ninaomba kuelekezwa jinsi ya kuongeza kilometres( Nina sababu zangu)
Kwa anayefahamu ninaomba sana kuelekezwa.
Natanguliza shukrani

Endesha kwenda Mwanza na kurudi mara 30 halafu lete mrejesho
 
Back
Top Bottom