Msaada; Kuongeza gas ya AC

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Wakuu,

Naomba kujua gharama ya kuongeza gas kwenye Ac yangu ya nyumbani, napatikana Dar.
 
Shukrani sana kwa taarifa mkuu. Nitalifuatilia hili suala kwa undani...maana joto la Dar lina kiburi na utemi sana.
 
Wakuu naomba kujua gharama ya kuongeza gas kwenye Ac yangu ya nyumbani,napatikana dar.
Hili swali ungepata jibu muafaka kama ungemuuliza fundi aliekufungia hizo AC......Inawezekana ukapoteza warranty kwa kutumia fundi wa mtaani.
 
Wakuu,

Naomba kujua gharama ya kuongeza gas kwenye Ac yangu ya nyumbani, napatikana Dar.

Tegesha Tu Makalio Yako Ktk Hiyo AC Kisha JAMBA Sana Halafu Funga Mlango Wake Baada Ya Nusu Saa Rudi Utakuta Gas Ya Kumwaga. Kila La Kheri Mkuu!
 
Back
Top Bottom