Msaada: Kuondoa virus kwenye Nokia 2730 classic

Msaada: Kuondoa virus kwenye Nokia 2730 classic

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,769
Reaction score
3,649
Naombeni msaada wenu wataalamu wa simu wa jinsi ya kuondoa virus kwenye Nokia 2730 classic. Nimejaribu kutumia hard reset code ambayo ni *#7370# lakini kwa bahati mbaya hii code haifanyi kazi kwenye simu. naomba msaada wenu kama kuna mtu yoyote anayejua hard reset code ya hii simu au ambaye anajua jinsi ya kuondoa virus katika hii simu.
 
Back
Top Bottom