mamamzungu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 2,650 Reaction score 4,481 Jun 1, 2024 #1 Nishawapigia simu sana hawapokei nishatuma email huu Ni mwezi wa3 Hakuna walichobadilisha Nilikosea katika ku click nikajikuta nimerudii academic qualification zAidi ya mara4 nataka kufuta ibaki moja Maelekezo kwa wanaofahamu
Nishawapigia simu sana hawapokei nishatuma email huu Ni mwezi wa3 Hakuna walichobadilisha Nilikosea katika ku click nikajikuta nimerudii academic qualification zAidi ya mara4 nataka kufuta ibaki moja Maelekezo kwa wanaofahamu
C CHIEF JJ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,075 Reaction score 358 Jun 1, 2024 #2 Wanafunzi wa UDOM utawajuwa tu, Vyuo Vikuu hamvionagi mnaenda kusomea chuo kama Form six?? Nenda upande wa kulia huko Kuna sehemu ya kufuta!!
Wanafunzi wa UDOM utawajuwa tu, Vyuo Vikuu hamvionagi mnaenda kusomea chuo kama Form six?? Nenda upande wa kulia huko Kuna sehemu ya kufuta!!
mamamzungu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 2,650 Reaction score 4,481 Jun 1, 2024 Thread starter #3 CHIEF JJ said: Wanafunzi wa UDOM utawajuwa tu, Vyuo Vikuu hamvionagi mnaenda kusomea chuo kama Form six?? Nenda upande wa kulia huko Kuna sehemu ya kufuta!! Click to expand... Sawa mkuu, ila pesa za majini ulipata lakini?? Hakuna pakufuta kuna edit tu
CHIEF JJ said: Wanafunzi wa UDOM utawajuwa tu, Vyuo Vikuu hamvionagi mnaenda kusomea chuo kama Form six?? Nenda upande wa kulia huko Kuna sehemu ya kufuta!! Click to expand... Sawa mkuu, ila pesa za majini ulipata lakini?? Hakuna pakufuta kuna edit tu
K Kihande JF-Expert Member Joined Nov 6, 2016 Posts 251 Reaction score 302 Jun 2, 2024 #4 endelea tu kuwapigia kaka hamn namn iyo case kwang ilishatokea ko niliwapigia wakaisolve within three days
endelea tu kuwapigia kaka hamn namn iyo case kwang ilishatokea ko niliwapigia wakaisolve within three days
mamamzungu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 2,650 Reaction score 4,481 Jun 2, 2024 Thread starter #5 Kihande said: endelea tu kuwapigia kaka hamn namn iyo case kwang ilishatokea ko niliwapigia wakaisolve within three days Click to expand... Sawaa
Kihande said: endelea tu kuwapigia kaka hamn namn iyo case kwang ilishatokea ko niliwapigia wakaisolve within three days Click to expand... Sawaa