Msaada: Kuonda "Skypee" worm from Flash

Jimjuls

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
486
Reaction score
168
Flash disk(8 GB) yangu imeingiwa na " Skypee" worm. Naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa.
 
Flash disk(8 GB) yangu imeingiwa na " Skypee" worm. Naomba msaada wa jinsi ya kuiondoa.

Tumia kaspersky iliyo "updated" then scan flash na kompyuta kwa ujumla...HAMNA KITACHOBAKI...!!
 
Tumia kaspersky iliyo "updated" then scan flash na kompyuta kwa ujumla...HAMNA KITACHOBAKI...!!

Nimetumia antivirus ya Kaspersky lakini inaonyesha message ya " Worm.Autoit failed to disinfect"
 
Tumia pc ambayo ipo clean na ina smadav ,plug in flash yako af skilizia,ila kama iyo pc nayo ina hao worms, kazi bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…