Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 4,975
- 9,722
Habari zenu ba ndugu.
Naomba msaada kunauzi nautafuta, nmeusahau jina japo maudhuhi yake nayakumbuka.
Uzi ule unahusu maneno ambayo unaweza ya tumia iliuende sawa na watu yani ni maneno ya kawadi tunayotumia kila siku ila mtoa ametia msisitizo.
Kizuri zaidi kuna-comment moja mwanana ulishushwa kwa lugha ya kibeberu. Ambayo ilikuwa yakufaha sana. Nayo ilikuja na maneno ambayo yanatafsiri sawa ila japo moja wapo laweza sound aggressive ukilinganisha na jengine.
Mwenye kuujua uzi uwo naomba ashee na kadamnasi.
Du!!!Kuna duka moja la nyuzi lipo town mitaa ya karibu na sheli pale huwezi kuukosa, wana kila aina ya nyuzi pale.
Nani huyo anawaruhusu Mirembe SQUAD wamiliki vismati!???Kuna duka moja la nyuzi lipo town mitaa ya karibu na sheli pale huwezi kuukosa, wana kila aina ya nyuzi pale.
Alikuwa mfalme wa Babeli au BabiloniDuh....umekua mfalme nebkadreza ambae aliota ndoto akawa ameisahau.mpk Danieli alipokuja kumfunulia hyo ndoto
Babeli ni kwa kiswahili Babylon kwa kizungu ni kama Yerusalemu na JerusalemAlikuwa mfalme wa Babeli au Babiloni
Kazi hii ngumu sanaHabari zenu ba ndugu.
Naomba msaada kunauzi nautafuta, nmeusahau jina japo maudhuhi yake nayakumbuka.
Uzi ule unahusu maneno ambayo unaweza ya tumia iliuende sawa na watu yani ni maneno ya kawadi tunayotumia kila siku ila mtoa ametia msisitizo.
Kizuri zaidi kuna-comment moja mwanana ulishushwa kwa lugha ya kibeberu. Ambayo ilikuwa yakufaha sana. Nayo ilikuja na maneno ambayo yanatafsiri sawa ila japo moja wapo laweza sound aggressive ukilinganisha na jengine.
Mwenye kuujua uzi uwo naomba ashee na kadamnasi.
Kuna duka moja la nyuzi lipo town mitaa ya karibu na sheli pale huwezi kuukosa, wana kila aina ya nyuzi pale.
Alikuwa mfalme wa Babeli au Babiloni
Babeli ni kwa kiswahili Babylon kwa kizungu ni kama Yerusalemu na Jerusalem
au nasema uwongo ndugu yangu
basi uniombee 🤣🤣Unasema ukwer mtupu