Superleta
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 466
- 538
Habari jamani wazima
Katika kuappel mkopo nilipewa kiasi kidogo sana yaani 40% tu huku chuo nikipaswa kulipa ada kubwa.
Nimejaribu kuappeal japo sijatuma taarifa zangu kuna hili jambo ni appeal reason.
Mimi nilisoma Diploma ila masomo primary na secondary nilisoma Kata. Sasa katika kigezo cha kuappeal nina mawili ya kuchagua.
1. Kwamba kiasi hakitoshi
2. Diploma yangu nilikuwa sponsored
Nikichagua kwamba kiasi hakitoshi kwenye form yao inatokea hivi. Je ni sawa nikijaza hivi kama inavyoonekana kwa picha Kwamba i was given a wrong loan amount wakati nimechagua kuwa kiasi nilichopewa hakitoshi?
Msaada please lugha inachanganya naogopa kuharibu kila kitu.