Msaada: Kuna kitu hiki kimejitokeza wakati nakata rufaa Bodi ya Mikopo, Naomba muogozo wenu tafadhali

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
243
250
Habari jamani wazima

Katika kuappel mkopo nilipewa kiasi kidogo sana yaani 40% tu huku chuo nikipaswa kulipa ada kubwa.

Nimejaribu kuappeal japo sijatuma taarifa zangu kuna hili jambo ni appeal reason.

Mimi nilisoma Diploma ila masomo primary na secondary nilisoma Kata. Sasa katika kigezo cha kuappeal nina mawili ya kuchagua.

1. Kwamba kiasi hakitoshi

2. Diploma yangu nilikuwa sponsored

Nikichagua kwamba kiasi hakitoshi kwenye form yao inatokea hivi. Je ni sawa nikijaza hivi kama inavyoonekana kwa picha Kwamba i was given a wrong loan amount wakati nimechagua kuwa kiasi nilichopewa hakitoshi?

Msaada please lugha inachanganya naogopa kuharibu kila kitu.

IMG_20191116_121408_486.JPG
 
kokosai

Member
Dec 25, 2018
48
95

Hiyo lugha yao ina utata lkn ww weka tu kama reason coz ndvy walivyo andika wenyewe.....coz wengi wameappeal kwa reason hyhy
 
Mkandamiza Vishimo

Senior Member
Sep 23, 2018
147
225
Write your reply...bodi aitend aki aowezekan watu wanalio awana kabsa alafu et mnatoa ruksa nq kwa wasiolizika wakate rufaa nao apana sio haki hiii kabsa hyo pesa mtakaotaka muwaongezee ao ni aeli mkawapatia na maskini wengne ata boom tupu jamani kunawengne tunasota mwaka wa pili uhuuu atupati
 
Mkandamiza Vishimo

Senior Member
Sep 23, 2018
147
225
Mkuu batch zitatoka zingine sikilizia.
shachoka mkuuu nimenza sikilozia toka mwaka jana na bodi nimeenda kama mala kumi naambulia matusi kwa mfano mwaka jana nlipowasumbua sana walinidai matokeo et wakati walikuwa wanajua nlikuwa first year ckuwai fanya ata quiz lakini walotaka matooeo yangu ndo wanipe mkopo si wanga awa mwaka uhu tena nazuipiwa ata kuingia ndani kusikilozwa nikienda kanda ogic zao najibiwa wanavyojiskia kan kwamba mimi ni mwizi vile nloenda ofisini kwao ipo cku ntaenda kujinywea sumu ofisini kwao nkafie happ
 
lamda kupitia mmi na wengine watakaobaki watakuwa wanasikilozw mana kwa sasa ata serikali yetu si sikivu kwenye ili jambo kwa kuwa wao wanakula wanashiba awakumbuki kuna watu tunashinda njaa vyuoni
 
Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
3,866
2,000
umepata 40% una appeal while kuna wanao omba japo wapewe Boom tu..na wengine hawana vyote dah
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom