mkuu nenda duka la madawa ya mifugo mnunulie dawa inaitwa fluquin.Aloevera ni zuri lakini mara nyingi hufanya vizur kwa kuku wazima huwakinga wasipate magonjwa,kwakua huyo tayar anaugua ukitumia hio dawa huyo kuku anapona