simu yangu ni nokia E-6 kuamkia leo asubuhi line yangu ya voda ilishishdwa kusoma kabisa network lakin nilivyojaribu line zingine(airtel,zantel,tigo) zilikubali na nilipoiweka ile line ya voda kweny simu nyingine ilisoma kama kawaida haukuleta mizengwe ya sim card registration failed
naomba msaada wa tatizo hilo kwa sababu hata kwenye modem ina kuwa poa