Msaada kujua ni madini gani haya

Mkuu naomba unipm namba yako, kuna sehem yanapatikana haya yenye quality ya hal ya juu... Ila soko ndo mtihan
 
Mkuu ngenganyi soko la madini ya vito lipo kubwa tu sema watu wame base kwenye dhahabu kisa madigala wake wapo hata huko uswekeni.

Niambie upo pande zipi tuje tugonge show then twende sokoni wote tupige pesa ndefu.
 
Nahis ni tourmaline sema yatakuwa hayana thamani maana haya reflect mwanga inatakiwa yawe yana reflect mwanga
Tourmaline hayakozi rangi kihivyo na hayapatikani mitoni. Hii ni Aina ya gamestone yenye mchanganyiko wa aluminum, lithium kidogo na magnesium ambayo hayana thamani.
Kwaufafanuzi zaidi aweone wataalamu wa mawe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom