Msaada:-Kujua namna ya kuflash simu.

Msaada:-Kujua namna ya kuflash simu.

vifaa hivi vinatumika tofauti1.simu aina ya blackberry,iphone,all android powered phone na baadhi ya za kichina zinatumia sytems ambazo azona key( dongle) na 70% ya software zake ni free kwenye net.2.nokia sony,lg,samsung,htc etc.hizi zinatumia dongle system for 80%,ni kama 20% ya software zake zipo free kwenye netdongle ni laki 2.5 to 4 lakis, ila kama unataka kuwa na sytem kamili,dongles na items nyingine za kukufanya uwe fundi mzuri unatakiwa uwe na 1M. miaka ya 2004 to 2008 nilikuwa nnafundisha hii kozi ya mafundi simu,Na nna usajiri wa VETA,nnipo katika plan ya kuanza tena kituo cha kufundisha Dar,Mwanza na Arusha hivi karibuni, kama unataka more info just pm me ,nipo tayari kukupa msaada wowote unaotaka katika ulimwengu wa kurepair simu za mikononi
Mkuu naomba kujifunza namna ya kurepair hizi simu Mimi nipo Arusha una mafunzo lini naitwa Joseph NCHINGA 0784815017/0715270107/0767260810
 
vifaa hivi vinatumika tofauti1.simu aina ya blackberry,iphone,all android powered phone na baadhi ya za kichina zinatumia sytems ambazo azona key( dongle) na 70% ya software zake ni free kwenye net.2.nokia sony,lg,samsung,htc etc.hizi zinatumia dongle system for 80%,ni kama 20% ya software zake zipo free kwenye netdongle ni laki 2.5 to 4 lakis, ila kama unataka kuwa na sytem kamili,dongles na items nyingine za kukufanya uwe fundi mzuri unatakiwa uwe na 1M. miaka ya 2004 to 2008 nilikuwa nnafundisha hii kozi ya mafundi simu,Na nna usajiri wa VETA,nnipo katika plan ya kuanza tena kituo cha kufundisha Dar,Mwanza na Arusha hivi karibuni, kama unataka more info just pm me ,nipo tayari kukupa msaada wowote unaotaka katika ulimwengu wa kurepair simu za mikononi
Mkuu kwa kuanzia natakiwa niwe na Box aina gani? Simu ni zile tecno ndogo ndogo na android ambazo zina userlock
 
kwa android mtk based processor( includes all versions of tecno, x-bo, vodafone) unaweza kuflash kwa smartphone flash tool(sp flash tool) ni free software inapatikana net.

kwa mtk featured phones( tecno za batani e.g tecno t728, 650 etc) flash kwa kutumia crack ya GPG DRAGON)

Kwa simu zenye processor za spreadtrum(spd), inajumuisha simu zote za itel na baadhi ya samsung za batani tafta software inaitwa downgrade au upgrade tool nayo pia ni free.

nitarud tena baadae....
 
baada ya kuinstall hiyo software unahitaji vifaa gan ili uweze kuflash simu?
 
Drivers tu za simu husika.... Na simu yako pemben basi.. Plus usb cable na firmwares yako.
 
kwa android mtk based processor( includes all versions of tecno, x-bo, vodafone) unaweza kuflash kwa smartphone flash tool(sp flash tool) ni free software inapatikana net.

kwa mtk featured phones( tecno za batani e.g tecno t728, 650 etc) flash kwa kutumia crack ya GPG DRAGON)

Kwa simu zenye processor za spreadtrum(spd), inajumuisha simu zote za itel na baadhi ya samsung za batani tafta software inaitwa downgrade au upgrade tool nayo pia ni free.

nitarud tena baadae....

Samahani mkuu hiyo crack ya GPG DRAGON ni software au Dongle (Box)
 
Yaan basi tu humu ndani uwa napata maujanja..... sema majukumu na muda vinabana.....hope Mungu atasahidia tutafika....hekoheko wasomi wotee mliotoa mawazo kuntu.
 
kwa android mtk based processor( includes all versions of tecno, x-bo, vodafone) unaweza kuflash kwa smartphone flash tool(sp flash tool) ni free software inapatikana net.

kwa mtk featured phones( tecno za batani e.g tecno t728, 650 etc) flash kwa kutumia crack ya GPG DRAGON)

Kwa simu zenye processor za spreadtrum(spd), inajumuisha simu zote za itel na baadhi ya samsung za batani tafta software inaitwa downgrade au upgrade tool nayo pia ni free.

nitarud tena baadae....
Free software not very safe no updates
 
Kuflash simu:
Simu ina software kama vile computer.Software ya simu ina sehemu kuu 3 1.eeprom 2.Base software 3.Language pack.
Kuflash kupo kwa aina 3
1.Kutoa lock simu ina aina 2 za lock 1.network lock(katika nchi za ulaya makampuni ya simu unnunua simu kwa maelfu na kuziprogram zitumie kadi zao tu na sio kadi za mitandao mengine)mfano simu/modem za Tigo azikubali line za Airtel au voda so unaziflash ili kuifanya simu ipokee kadi yeyote
2.User lock mwenye simu anaweka lock ili simu yake isiwezechezewa na mtu mwingine.so unaflash kutoa hii lock na kuifanya free.
Languange pack flashing
Hapa Tanzania,hii flashing sio sana kufanyika,katika flashing hii,unaweza kuta simu aina lugha ya kiengeleza so unafuta iliyopo na kuiweka unayotaka.
Vifaa vya flshing vipo vya aina 2 1.with hardware key (dongle) 2. With non flshing hardware key.
To be continue my batt is going to die soon
Flashing is writing and erasing firmware or eeprom
 
Back
Top Bottom