Wajumbe wa nyumba kumi niwafanyakazi wa serikali sio chama mkuu..labda niulize ofisi zao hapa nilipoCcm wana matawi karibia kila eneo, ukifika kwenye ofisi zao watakupa mwongozo.
Au kama unaona hautakua comfortable mfate mjumbe wako wa nyumba 10 atakupa mwongozo.
Ulichosema ni kweli, RC wa Kill katoa ujumbe mzuri sana jana baada ya kuachia ngazi.Wakati wanaoijua vizuri ccm kama Kinana wanatafuta njia ya kusepa wewe kula kulala eti unauliza uingilie mlango gani! Hakika yale maneno "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Mungu aliyatamka kwa makusudi kabisa nawe umetudhihirishia.
Kwa mwendo wa siasa za nchii zinavyokwenda hata mimi nafikiria hivyo kwani sioni mbadala wa ccm hasa kwa kipindi hiki cha Magufuli.Sina shaka na afya zenu
Wakuu nimeamua kwa dhati kabisa kujiunga na chama kikongwe nchini na chenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wake ukiangalia falsafa, mtizamo na sera za chama. Hii haina maana nilikuwa upinzani no. mm nilikuwa neutral sikuwahi kumiliki kadi ya chama wala kushiriki kazi zozote za kichama. Leo baada ya kutafakari nikaona kama kijana nahitajika pia kujenga nchi yangu kupitia chama na hasa CCM.
Ombi langu kwenu wadau naomba mnipe mwongozo na taratibu za kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM)-[Revolutionary party]
Kidumu chama cha Mapinduzi
Asanteni
Ni wa ccm, serikali huanzia na kitongojiWajumbe wa nyumba kumi niwafanyakazi wa serikali sio chama mkuu..labda niulize ofisi zao hapa nilipo
Unaelekezwa njia bora kumbe weye una yako. Itumie inayokufaa.Wajumbe wa nyumba kumi niwafanyakazi wa serikali sio chama mkuu..labda niulize ofisi zao hapa nilipo
Hakuna mtanzania ambaye hakuwa mwanaccmSina shaka na afya zenu
Wakuu nimeamua kwa dhati kabisa kujiunga na chama kikongwe nchini na chenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wake ukiangalia falsafa, mtizamo na sera za chama. Hii haina maana nilikuwa upinzani no. mm nilikuwa neutral sikuwahi kumiliki kadi ya chama wala kushiriki kazi zozote za kichama. Leo baada ya kutafakari nikaona kama kijana nahitajika pia kujenga nchi yangu kupitia chama na hasa CCM.
Ombi langu kwenu wadau naomba mnipe mwongozo na taratibu za kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM)-[Revolutionary party]
Kidumu chama cha Mapinduzi
Asanteni
Sina shaka na afya zenu

Kwahiyo mecky sadick na kinana wanashida gani au uslam wao ktk utawala huu maana haujali uislamKwa Chadema sasa kila anayeachia ngazi hata kama ameyafanya maovu kiasi gani akiwa ccm kwao ni shujaa wao.Leo hii mnamwona kinana ni shujaa kweli? Mnamwona Mecky Sadik ni shujaa kweli Chadema mko serious mna nia ya dhati na mnaitakia mema nchi hii?