kakolo
I am very sure what you want to do is an investment venture in which you will pump money from your personal coffers or and including finance from the bank ... isn't it? .. i advice you to involve a professional to conduct an investment appraisal report on your proposed project, this will let you define in advance the feasible and viable aspects of your project and therefore know the nitty gritty part of your investment
to me it is a good project investment, but visa versa it might not be good due to the aspects of location, market trends and retururn on investment ratios
nakutakia mafanikio mema
MahinaVeterani
Vyema kabisa na upo sahihi kabisa, ni vizuri kujua uwekezaji wako kuwa na thamani (worth of investment), hii ni mojawapo ya vitu unavyotakiwa kuvielewa kabla kabisa ya kuanza mradi, hapa mradi unaweza kuwa unaingiza faida lakini faida ile inaweza kuwa haiendani au haina uwiano na fedha na muda uliowekeza kwenye mradi, hii ni sambamba na kigezo muhimu kabisa cha miradi yaani mradi kuwa na thamani ambapo kigezo hichi hutegemea zaidi kipengele cha kurudishwa kwa thamani uliyowekeza kwenye mradi (return on investmrnt)... ukishatathmini hili unaweza kufanya maamuzi sahihi kwenye uwekezaji wako,
hii inaweza kuwa pamoja na tayari kuwa na eneo/kiwanja unaeweza ukakuta kwamba ni bora na kuna faida inayorudisha hela uliyowekeza kwa kiwanja hicho kufanyia mradi wa kuegesha magari kwani uwekezaji wake hautumii gharama na uendeshaji wake ( management especially control) ni rahisi zaidi hivyo kupelekea return on investment kuwa kubwa kulinganisha na huu mwingine ingawa hela uliyowekeza ni ndogo na hurudi katika muda mfupi
sikukatishi tamaa ila ninaamini ninakupa somo litakalo kujenga kuimarisha maamuzi na utendaji kazi wako katika mradi huu wako husika ili uweze kuwekeza ukiwa free from doubts (pasipo shaka)
kumbuka kupanga ni kuchagua
Mfano,.mradi wa jengo la Ubungo Plaza wakati ule baada ya kumalizika jengo lile asilimia 65% (occupancy rate at only 35%) ya jengo lilikosa wapangaji kwa takriban muda wa miaka mitano ... hii ni hasara ukizingatia ukubwa wa kiasi cha fedha cha uwekezaji ule na muda uliotumia kurudisha.... angali sasa mradi wa Machinga Complex jijini Dar es salaam mpaka hapa ni hasara kubwa tayari, Daraja la Benjamin Mkapa mikoa ya kusini na mengine menngi ... hii yote ni poor investment appraisal
nakutakia mafanikio mema
Dah! Hii ingekuwa katika Kiswahili wengi tungefaidika. Bahati mbaya, mchango huu ndio umenipita hivyo. Ngoja niende kwingine!
ningependa kukushauri mambo matatu
1. legal aspect
-umiliki una determine mambo mengi pia kama decision making nk, ukiwa wa ki kampuni ni bora zaidi (liability)
-uwanja kama una hati ni vizuri uwe na landuse ya "commercial/recreational". otherwise wkt unafatilia mengine, fanya change of use (manispaa husika) its a long process, doing it early is better.
-kama hauna hati basi ufanye reconnaissance kufahamu hauna changamoto kwenye town plan map. (sio open space, barabara, bonde etc). ili usije invest afu ukute unajenga kwenye uwanja unaostahili primary school japo unaweza kua unaumiliki kihalali.
2. business aspect
-apo ndo kwenye feasibility study and business plan, kama uko tayari ku invest unaweza tumia business consultants kufanya a brief study on the investment yani initial cost, returns, competition, market on the area, long terms challenges, specific challenges to that business nk. hao wanaweza kukupa mwanga mzuri wa ki biashara (graphs and numbers) changamoto yake ni they aim to evaluate the risks, ukiwa muoga huwezi fanya ata biashara ya kuuza genge. ila ni muhimu kuzifahamu.
3. design + construction
- utamuhitaji architect kwa ajili ya design ya jengo lako na kusimamia ujenzi wake. watu hutafuta wajenzi kwanza ila inabidi ufaham "think tank" hua architect, contractor hufwata mchoro na instructions.
-its important kupata design inayoendana na mazingira husika, business recommendations, mawazo yako nk. ivo hire an experienced architect for that. u'll spend millions ili upate value for money unahitaji architect anaejitambua.
-ataweza kukusaidia kuanzia kwenye landuse issues, kupata preliminary design and rough costs estimates (based on elements/square meters).
Hope nimesaidia kiasi
ushauri wa kitanzania: unaweza pata experience ya watu waliowahi kujenga kumbi na kutembelea nyota yake, japo ujue mazingira hua tofauti.
Very interesting. Sasa sector binafsi unalinganisha na machinga complex?MahinaVeterani
Vyema kabisa na upo sahihi kabisa, ni vizuri kujua uwekezaji wako kuwa na thamani (worth of investment), hii ni mojawapo ya vitu unavyotakiwa kuvielewa kabla kabisa ya kuanza mradi, hapa mradi unaweza kuwa unaingiza faida lakini faida ile inaweza kuwa haiendani au haina uwiano na fedha na muda uliowekeza kwenye mradi, hii ni sambamba na kigezo muhimu kabisa cha miradi yaani mradi kuwa na thamani ambapo kigezo hichi hutegemea zaidi kipengele cha kurudishwa kwa thamani uliyowekeza kwenye mradi (return on investmrnt)... ukishatathmini hili unaweza kufanya maamuzi sahihi kwenye uwekezaji wako,
hii inaweza kuwa pamoja na tayari kuwa na eneo/kiwanja unaeweza ukakuta kwamba ni bora na kuna faida inayorudisha hela uliyowekeza kwa kiwanja hicho kufanyia mradi wa kuegesha magari kwani uwekezaji wake hautumii gharama na uendeshaji wake ( management especially control) ni rahisi zaidi hivyo kupelekea return on investment kuwa kubwa kulinganisha na huu mwingine ingawa hela uliyowekeza ni ndogo na hurudi katika muda mfupi
sikukatishi tamaa ila ninaamini ninakupa somo litakalo kujenga kuimarisha maamuzi na utendaji kazi wako katika mradi huu wako husika ili uweze kuwekeza ukiwa free from doubts (pasipo shaka)
kumbuka kupanga ni kuchagua
Mfano,.mradi wa jengo la Ubungo Plaza wakati ule baada ya kumalizika jengo lile asilimia 65% (occupancy rate at only 35%) ya jengo lilikosa wapangaji kwa takriban muda wa miaka mitano ... hii ni hasara ukizingatia ukubwa wa kiasi cha fedha cha uwekezaji ule na muda uliotumia kurudisha.... angali sasa mradi wa Machinga Complex jijini Dar es salaam mpaka hapa ni hasara kubwa tayari, Daraja la Benjamin Mkapa mikoa ya kusini na mengine menngi ... hii yote ni poor investment appraisal
nakutakia mafanikio mema
Bluetooth, Cejo, Mito, MahinaVeteran, Fall Army Worm, Hornet, Da Pretty, Coturnix, IPILIMO na Kifaru 1Hello.