Ndugu yangu!!mwenyewe naitumia!!ni nzuri na ina chanels nyingi!!!!isipokuwa credit ikikata hata local chanels hupati!!!wamepunguza bei ya malipo kwa kila mwezi!!sijaona shida yake mpaka sasa!!niko nayo kwa mwaka sasa
mhhh,hapo pazuri,kuna channel zozote za mpira?kama epl,bundesliga,ligue 1,laliga,serie a,champions league na uefa ndogo?msaada tafadhali wenye uzoefu wa matumizi
Wadau naomben mniambie ubora wa movies za Zuku kama ziko poa au vp
MBONA TBC1 NA CHANEL 10 ZIMEONDOLEWA? Nn tatizo?