Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,545
- 2,486
Fuata huu ushauri mkuu.Nadhani unafanya vlogging huku umetanguliza pesa mbele ni dhahiri hauna passion na vlogging utaangukia pua.
Naomba nikushauri kwanza lazima ufanye video blogging kama passion then itakulipa tu.Kama umeshawahi kutengeneza blog kwa kutumia blogger kwenye kitufe cha monetisation utaona wamekuandikia "convert your passion into earning"
Malipo yapoje kwan? Unapata kiasi gani kama hao viewers 1000 wakisoma tangazo laoInabidi utimize hiko kipengele cha 4 ndo wakufikirie kama utaweza kuweka matangazo. Subscribers 1,000 na watch hours 4,000 katika miezi 12 iliyopita.
Nahisi Ndo Maelezo Sahihi Uliyompatia, Akiyafata Hay a hakika Ataona Manufaaa YakeNadhani unafanya vlogging huku umetanguliza pesa mbele ni dhahiri hauna passion na vlogging utaangukia pua.
Naomba nikushauri kwanza lazima ufanye video blogging kama passion then itakulipa tu.Kama umeshawahi kutengeneza blog kwa kutumia blogger kwenye kitufe cha monetisation utaona wamekuandikia "convert your passion into earning"
Hauwezi kujua, inategemea na vitu vingi sana. Labda kati ya $0.30 na $2.00Malipo yapoje kwan? Unapata kiasi gani kama hao viewers 1000 wakisoma tangazo lao
Ndo mwanzo, dhumuni ni hela si kingineSub 2 unataka hela duuuh