Habari wanajf. Nina simu aina ya Nokia 2700 classic, mwanzo nilikuwa nasign in bila tatzo katika mtandao wa Yahoo. Lakini kuanzia mwezi january kila nikijarbu kusign in inaandika hivi ''We can not process your request this time(error 999)" jamani tatzo litakuwa ni nini? Account yangu ya yahoo iko poa coz nikitumia desktop nina accesess vzuri. Nawasilisha!!