Msaada kuhusu windows defender

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Wadau natumia window 8, lakini ghafla windows defender imestop n nikijaribu kuistart up inapotea bila kuwa active. Naombeni msaada juu ya hili.


Natanguliza shukrani!!!!!!!!!!!
 
Kuna jamaa nilimuachia pc ndiye alifanya hivyo but nimekwisha ondoa lakini bado windows defender haiko active Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa nilimuachia pc ndiye alifanya hivyo but nimekwisha ondoa lakini bado windows defender haiko active Chief-Mkwawa

itakua bado imebaki hio ant virus, irudishe then itoe na remover yake. ilikuwa ni ant virus gani?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…