Kwasasa ninatumia Laptop HP 620 yenye specs zifuatazo; RAM 4GB, PROCESSOR 2.33Ghz dual, HDD 500GB, OS WIN7 32bit.
Nahitaji kubadilisha Window kutoka Win7 kwenda Win8;
Nahitaji kubadilisha Window kutoka Win7 kwenda Win8;
1. Je, kuna uwezekano Wa ku-install OS yenye 64bit kwenye PC ilokuwa inarun 32bit?
2. Au kuna WIN8 kwa 32bit OS?
3. Kama kuna mawazo/ushauri mwingine mbadala, nakaribisha. Nawasilisha!
Habari wanaJF!
Kwasasa ninatumia Laptop HP 620 yenye specs zifuatazo; RAM 4GB, PROCESSOR 2.33Ghz dual, HDD 500GB, OS WIN7 32bit.
Nahitaji kubadilisha Window kutoka Win7 kwenda Win8;
Nimejaribu kuweka WIN8 64bit imegoma;
1. Je, kuna uwezekano Wa ku-install OS yenye 64bit kwenye PC ilokuwa inarun 32bit?
2. Au kuna WIN8 kwa 32bit OS?
3. Kama kuna mawazo/ushauri mwingine mbadala, nakaribisha.
Nawasilisha!
- Kwa hizi specification, waweza kabisa kuweka Windows 8 x64 bit
- Angalia Minimum Recommended System requirement
- Waweza kabisa kubadili, tena ni kama umechelewa kubadili maana sasa tunaisubiri Windows 8.1.1 ambayo itakuwa released April 8, 2014
- Yawezekana iso ilikuwa corrupt, Pia yawezekana CD uliyokuwa ukitumia ilikuwa na scratch hivyo zoezi zima kukataa.
- Kwa hizo spec. za PC yako windows 8 x64 bit haiwezi kukataa.
- Inawezekana kabisa, Ondoa shaka
- Ndio waweza pata Windows 8 OS x32 bit au x64 bit
- Weka windows 8.1 x64 bit katika PC yako
- Nitakuwekea Clean Copy ya Windows 8.1 x64 bit soon
- Karibu
Hiyo installation ulikuwa unafanya kwa dvd au flash kama ni dvd huwa zinasumbuwa sana zikipata mikwaruzo ni bora utengeneze bootale flash ya window8 then kweye boot menu utaset flash ndo iwe ya kwanza then unaboot kama kawaida kama os zingine.
1.Je system yako ni 64bit au 32bit?
2. win8 ipo ya 32 and 64 bit. usiwe na hofu kuhusu hili.
3. ni vizuri sana endapo system yako ni ya 64bit ukaweka windows ya 64 bit coz 64bit OS inatumia RAM vizuri sana (Utilises RAM effectively).
Ni hayo tuu!!!