Msaada kuhusu window please

Msaada kuhusu window please

Ahsante hivi kweny xp ukishaiweka unaikuta na software kama Microsoft office zile au??
hautaikuta mkuu, labda kama kuna ufundi mwingine. Ila mi sijawahi ona hicho kitu, so itakulazimu kuzi install upya. kumbuka kufanya backup ya mafaili yako kabla ya kupiga windows ili yasipotee
 
Hivi mfano my computer iko compatible with window xp afu nikaipiga window 7 au 8 itakubali au????

Kompyuta chache sana za windows Xp zitakubali Windows 7 au 8 bila kubadilisha baadhi ya vitu...mara nyingi itakudibi uwe na ram zaidi ya 2gb na processor nzuri, ambapo sio rahisi kukuta pc za xp zikiwa hivyo.(nyingi ni pentium)

Pia ms office ni package tofauti kabisa, hii huwezi kuipata moja kwa moja na windows installation.
 
Yangu cio Pentium mkuu centrino
 
Yangu cio Pentium mkuu centrino

Centrino ninazozijua zina uwezo mdogo sana, japo zipo siku hizi centrino mpya ambazo kiasi fulani zina uwezo, mara nyingi utazikuta kwenye notebook na laptop ndogo sana.
Kama unataka bado kujaribu Windows 7...jaribu home basic au home premium.
 
samahani, processor na hard disc zina ukubwa gani?

kuhusu microsoft office njia rahisi ni kuzifanyia back up
 
Mkuu inakubali w7(32 bit) lakin itamis driver kama sound,graphics driver tumia driver booster au drivereasy kuzipata na speed itakuwa ya kawida tu usiilpe mzigo mkubwa sana na wala usijaze vitu vingi local disk c.
 
Nenda kwenye my computer then angalia properties ya hiyo computer yako kama ni compactible na hiyo windows ambayo unataka kuinstall then u proceed
 
Back
Top Bottom