Windows 8 inaweza kushika virus ila inakuja built in na antivirus ya Microsoft hivyo hakuna haja ya kuinstal av nyingine, ukiinstal nyingine ya Microsoft itajizima automatically. Pia ukiinstall Apps zs Windows Store hauwezi kupata virus maana hizi zinakaguliwa na MS na pia zinarun nfani ya fensi hazina uwezo wa kuathiri PC.