wazo zuri lkn vipi katika upatikanaji wa application software kwa linux?download Linux bure uiweke badala ya windows
wazo zuri lkn vipi katika upatikanaji wa application software kwa linux?
application zipo nyingi tu, sijajua wewe unahitaji zipi!wazo zuri lkn vipi katika upatikanaji wa application software kwa linux?
sikieni vijana window cracker haiwezi kufanya kazi ikiwa tayari imeshactivate bali hufanya kazi pale inaponadi kua siku kadhaa zimebaki zikipita sile siku huwezi tena kutatua kwa loder cha msingi inabidi utoe hiyo window na uinstall upya! goodluck!