barracks Senior Member Joined Aug 8, 2014 Posts 103 Reaction score 25 Feb 29, 2016 #1 Wakuu habari naombeni msaada kuusu whatsapp inashindwa kuonesha majina inaniandikia whatsapp is denied to read contact.
Wakuu habari naombeni msaada kuusu whatsapp inashindwa kuonesha majina inaniandikia whatsapp is denied to read contact.
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,062 Reaction score 993 Mar 1, 2016 #2 Tueleze kwanza simu gani unatumia na OS gani ipo installed
patriotisttz Member Joined Jan 27, 2016 Posts 30 Reaction score 7 Mar 5, 2016 #3 Naombeni pia msaada wadau simu yangu haipokei simu wala kupiga kwenye whatsapp inaniletea msg call couldn't connect wakati mara ya kwanza ilikuwa freshy Nimejaribu Ku update lkn wapi,,
Naombeni pia msaada wadau simu yangu haipokei simu wala kupiga kwenye whatsapp inaniletea msg call couldn't connect wakati mara ya kwanza ilikuwa freshy Nimejaribu Ku update lkn wapi,,
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,175 Reaction score 829,138 Mar 5, 2016 #4 barracks said: Wakuu habari naombeni msaada kuusu whatsapp inashindwa kuonesha majina inaniandikia whatsapp is denied to read contact. Click to expand... Kuna mahali ilikuuliza hilo swali uka click deny kwakiyo itoe halafu uiistall upya tatizo litaisha
barracks said: Wakuu habari naombeni msaada kuusu whatsapp inashindwa kuonesha majina inaniandikia whatsapp is denied to read contact. Click to expand... Kuna mahali ilikuuliza hilo swali uka click deny kwakiyo itoe halafu uiistall upya tatizo litaisha
patriotisttz Member Joined Jan 27, 2016 Posts 30 Reaction score 7 Mar 6, 2016 #5 Kiongozi na mimi je kuhusu whatsap call