Msaada kuhusu whatsapp

Msaada kuhusu whatsapp

barracks

Senior Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
103
Reaction score
25
Wakuu habari naombeni msaada kuusu whatsapp inashindwa kuonesha majina inaniandikia whatsapp is denied to read contact.
 
Tueleze kwanza simu gani unatumia na OS gani ipo installed
 
Naombeni pia msaada wadau simu yangu haipokei simu wala kupiga kwenye whatsapp inaniletea msg call couldn't connect wakati mara ya kwanza ilikuwa freshy Nimejaribu Ku update lkn wapi,,
 
Wakuu habari naombeni msaada kuusu whatsapp inashindwa kuonesha majina inaniandikia whatsapp is denied to read contact.
Kuna mahali ilikuuliza hilo swali uka click deny kwakiyo itoe halafu uiistall upya tatizo litaisha
 
Back
Top Bottom