Msaada kuhusu website ya TAMISEMI!

nundaz

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
272
Reaction score
193
heshima kwa wadau wote.jamani naombeni kueleweshwa kuhusu hii website ya TAMISEMI tangu juzi najaribu kufungua kujua hatima ya sisi ya sisi walimu tulokosa ajira. Imekuwa ikiandika LOADING 45% Mara 79% hivi hii inakuwa na maaana gani ikionyesha hivyo? kuna upload zozotebzinafanyika au ni kawaida website kuandika hivyo? naombeni kupewa elimu kuhusu hilo swala la hyo website wana jamvi
 
Mbona inafunguka mkuu?, Na ajira zote za msingi, sekondari Na vyuo wameweka kwenye pdf's.

Huenda kifaa chako ulichokuwa unatumia kilikuwa kimeishiwa salio
 
Mbona inafunguka mkuu?, Na ajira zote za msingi, sekondari Na vyuo wameweka kwenye pdf's.

Huenda kifaa chako ulichokuwa unatumia kilikuwa kimeishiwa salio

yeah hizo ni zile za first selection but sisi walituahidi kuwa katikati ya wiki yaani kuanzia jumatano wangeweka majina mengine. swali langu kuna muda hyo website ya TAMSEMI inaandika LOADING.je hyo ni ishara gani? kuna vitu wanaweka au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…