Msaada kuhusu wanaume wa kinyamwezi

LAKI

Senior Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
100
Reaction score
37
Habari wandugu, hope mnaendelea vema na majukumu,

Anayefahamu tabia/sifa za wanaume wa kinyamwezi naomba anijuze tafadhali.


Asanteni.
 
Waswahili wanapenda sana ushirikina wana husudu extended family.
 
Wataratibu saaaaana,hawapendi wanawake wa aina hii wabishi,vichwa ngumu,wajuaji,wanaowakalia kichwani,wachoyo,wana upendo wa kweli.......kwa ujumla ni watu wa amani hao ni wasukuma,kama una maanisha wanyamwezi wa kule Urambo,sikonge ni wajuaji,wana wivu sana,watu wa maneno mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii japo si wote lakini wengi wao ndo walivyo.
 
wastaarabu , wapole , wavumilivu ,wananyenyekea na wana upendo wa kweli ila tu ukiwakera au kuwakwaa hawachelewi kuacha
 
Mmmmm! mimi napita tu kuwajulieni hali!
 
hivi mtu akisema side mnyamwezi si maana yake anapenda mambo flani
 
hahahaaa vipi mamaaa umepata mnyamweziii auuu??? hahahaa hapo umefika kama unatafuta malavidavi ya ukweli kwa mnyamwezi ni mwisho maana huwa wanalia ndani ya mapenzi wankuwaga wajinga mnooo.. wee ingia tu wala usisite
 
Wanapenda sana kungonoka, lkn hawawapendi wanawake.
 
Ni wanaume tu kama walivyo wanaume wengine uliwahi kukutana nao wana kila kitu cha kuwafanya waitwe wanaume
(vipi inatosha??)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…