vvti engine
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 188
- 210
Ninategemea humu tutapata msaada, tuendelee kusubiri ndugu.Mimi pia walinipigia na maelezo kama kama hayo,ila sina hakika kama kuna mtu alishapata huduma kama walivo eleza ,
Tatizo bima ni biashara kama zilivo zingine, vitu wanavyofidia ni vile ambavyo wana uhakika vitakutokea kwa nadra sana, so nashauri kama unahitaji bima ya afya kata ya uhakika kutoka kwene taasisi zinazotambulika na vituo vya afya ili ikitokea umepata shida ya kiafya unakuwa huwazi kuhusu hela.Heshima kwenu Wana jukwaa. Kama mada ilivyo, nilipigiwa simu na kitengo Cha huduma kwa wateja Cha Vodabima, wakidai nimekidhi vigezo vyote vya kujiunga na huduma yao ya Vodacom Bima. Maelezo Ni kuwa kwa idadi ya watoto wangu pamoja na mtegemezi mmoja ninatakiwa kulipia huduma hii TSHS. 7,500/= kwa Kila mwezi.
Nikaambiwa kwa kiasi hicho nitapata AINA tatu za bima. (1) Bima ya ajali (2)Bima ya afya au matibabu na Bima ya Maisha. Walinipa maelezo mengi tu Kuhusu michanganuo ya hizo Bima pamoja na mengine mengi. Ninachoomba kufahamishwa hapa Ni ufanisi wa hizi Bima.
Je, kuna mtu yeyote anaye au aliyewahi kuitumia Bima hii ya Vodacom? Vipi Kuhusu utendaji wake na changamoto? Maana wanasema ukitibiwa unatoa pesa yako halafu wao watakurudishia baada ya kuwatumia vielelezo, je Ni kweli wanafanya hivyo? Naomba kuwasilisha.
Natazingatia ushauri huu. Asante Sana.Tatizo bima ni biashara kama zilivo zingine, vitu wanavyofidia ni vile ambavyo wana uhakika vitakutokea kwa nadra sana, so nashauri kama unahitaji bima ya afya kata ya uhakika kutoka kwene taasisi zinazotambulika na vituo vya afya ili ikitokea umepata shida ya kiafya unakuwa huwazi kuhusu hela.
Bima kwa lugha rahisi inakusaidia unapokuwa na dharula na labda kiuchumi hujawa poa, sasa iyo ya kujilipia then uje ufidiwe inaweza isiwe na mantiki kivile... ila the choice is yours
Asante mkuu. Unapolipia bima, Imani Ni kuwa itakusaidia unapopata tatizo wakati huna pesa wakati huo. Sasa Kama ukipata tatizo ulipe pesa zako halafu wao ndio wakurudishie msaada wao Ni upi?.Kuna moja ilikuwa ya tigo bima, maelezo yao nikama haya ,ila mteja wao alisumbuka sana, siku ukihitaji uwajibikaji wao ndo shida inaanzia hapo mara peleka risiti za matibabu ofisini kwao, mara nomber wakupayo haipo kwa hewa,
Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu. Nitazingatia ushauri wako.Tatizo bima ni biashara kama zilivo zingine, vitu wanavyofidia ni vile ambavyo wana uhakika vitakutokea kwa nadra sana, so nashauri kama unahitaji bima ya afya kata ya uhakika kutoka kwene taasisi zinazotambulika na vituo vya afya ili ikitokea umepata shida ya kiafya unakuwa huwazi kuhusu hela.
Bima kwa lugha rahisi inakusaidia unapokuwa na dharula na labda kiuchumi hujawa poa, sasa iyo ya kujilipia then uje ufidiwe inaweza isiwe na mantiki kivile... ila the choice is yours