Msaada kuhusu viwanja

Msaada kuhusu viwanja

lukac

Senior Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
122
Reaction score
35
Naamini kuna wataalamu wa masuala ya viwanja humu..naombeni kuuliza vipimo vingi vya viwanja vipo katika square metres (sqm)..sasa nataka kujua square metre moja ni sawa na ukubwa gani? Na pia ekari moja inaweza kuwa na square metre ngapi? ..naombeni msaada wenu jamani coz hii mambo huwa inanichanganya sana.
 
Sqm ina maana urefu 1m na upana 1m.
Heka moja ina Urefu 70m na Upana 70m. Hivyo ni Sqm 4900.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom