nasikia itv na startv zinapatikana kwa kuongeza lnb nyingineYes,kina HDMI port,cable za kawaida,usb port.
kiko vizur ila bado chanel Kama ITV,star Tv na EATV, kina record na Ni portable.Swali?
Ahsante mkuu kwa jibu zuri, so kwa mantiki hiyo naweza kuunganisha na computer lcd monitor moja kwa moja bila kupitia kwenye computer yenyewe, yani bila kununua tv card na vitu kama hivyo?
ni KU utapata itv na startv bure pia mozabique zinapatikana free for more info tembelea facebook page yao azamDu! Mkuu sory ni kweli kwamba nikiongeza LNB nitapata hizo chanel kama star tv, itv eatv? Na LNB zipi kama KU au?
ni KU utapata itv na startv bure pia mozabique zinapatikana free for more info tembelea facebook page yao azam
mmmhhh mkuu mbona nimepitia hakuna hiki kitu.
au copy na uje upaste hapa.
yeah hiyo kitu
ipo kuna mdau mmoja wa hiyo pache ameweka na frequency kabisa
pia ukitaka no yake ya simu ipo kwenye page group yao,.
wadau hyo usb port katka azam decorder inacheza movie format yoyote??