Dah mkuu🤣🤣🤣Nunua king'amuzi cha CCM kina Tamthilia nyingi za kibongo Kama vile Ndugai,Kabudi,Jiwe na Pole Pole.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣Noma mkuu jirani kasema mwisho leo kwenda kwake namchafulia sofa zake,si unajua wengine ili tupate raha ya tamthilia mpaka tupandishe miguu yetu juu ya sofa😂😂Baki na hicho hicho ulichoangalia huba , au unaendaga kwa jirani?
Tembelea mawakala/mafundi utapata maelezo mazuriNilikua natumia cable mkuu,sasa nimehamia Dom ndo nataka kufunga king'amuzi mkuu
TAMTHILIA ZOTE ULIZOZITAJA HAPO, ZINAPATIKANA KISIMBUZI CHA DSTV AMBACHO NDIO KINA VIFURUSHI VYA BEI KUBWA KULIKO HIVYO VISIMBUZI VINGINE, DSTV KIFURUSHI KIDOGO ZAIDI NI CHA SHILINGI 19000/= KWA AZAM HATA 10000/= UNAPATA SINEMA ZETU MWEZI MZIMA.Habari za leo wakuu,
Ninaomba mwenye ufahamu kuhusu ving'amuzi vya Tanzania yaani DSTV, AZAM, ZUKU nk. Kipi kina unafuu katika vifurushi; kwa upande wangu napendelea tamthilia za Kitanzania kama Huba, Kitimtim n.k.
Itapendeza kama utanitajia na bei za kununulia visimbuzi hivyo pamoja na gharama za ufungaji. Napatikana Dodoma.
Natanguliza shukrani
Vip hapo kwa Azam, hiyo ten unapata channel kama ngapi? Naomba unitajie unazokumbuka. Samahani lakini.TAMTHILIA ZOTE ULIZOZITAJA HAPO, ZINAPATIKANA KISIMBUZI CHA DSTV AMBACHO NDIO KINA VIFURUSHI VYA BEI KUBWA KULIKO HIVYO VISIMBUZI VINGINE, DSTV KIFURUSHI KIDOGO ZAIDI NI CHA SHILINGI 19000/= KWA AZAM HATA 10000/= UNAPATA SINEMA ZETU MWEZI MZIMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip hapo kwa Azam, hiyo ten unapata channel kama ngapi? Naomba unitajie unazokumbuka. Samahani lakini.
Nashukuru sana mkuu umenifumbua macho,ngoja nifuatilie hichoTAMTHILIA ZOTE ULIZOZITAJA HAPO, ZINAPATIKANA KISIMBUZI CHA DSTV AMBACHO NDIO KINA VIFURUSHI VYA BEI KUBWA KULIKO HIVYO VISIMBUZI VINGINE, DSTV KIFURUSHI KIDOGO ZAIDI NI CHA SHILINGI 19000/= KWA AZAM HATA 10000/= UNAPATA SINEMA ZETU MWEZI MZIMA.
Sent using Jamii Forums mobile app