Ni kama majina yanavyojieleza tu mpwa. Hio ya pili wanakuvisha headphones halafu unakua uko kwenye computer unafuata maelekezo unafanya paper. Nilishafanya pale UCC Mlimani mwaka 2008, ila kwa taarifa zaidi na kama unataka kufanya mazoezi ingia Google