Rais wa Wasukuma
Member
- Nov 3, 2016
- 55
- 53
Ndugu tupe mrejesho unaendeleajeUnajua mkuu wakati mwingine hizi khali zinachosha saana, mtu unaenda hospitali nne tofauti wanakwambia ugonjwa mmoja wanakupa dawa hospitali nyingine sindano na dawa lakini unapona tu unapotumia zile dawa ukiacha khali inarudi.
Hali hii inaumiza ukifikiria khali ngumu ya kiuchumi japo afya zetu tunazipenda ndio vile tunajitahidi kwenda hospitali tofauti tofauti.
Lakini nashukuru dawa nilizotumiaa za asili ziMenionesha matokeo fulani walau sasa naweza kusema kwa 90% ugonjwa umeisha nimebaki kusikia maumivu kidogo saana wakati wa mkojo wa kwanza wa asubuhi,
kwakua yule mtu alisema nimuone nikimaliza dozi basi ntakwenda kumuona
All in all nawapenda bure jamii forum hamjawahi niangusha ushauri wenu umenifungua mengii[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mkuu sahivi naendelea vyema kabisa baada ya kutumia zile dawa kwa kiasi kikubwa nimeona mabadiliko makubwaaaNdugu tupe mrejesho unaendeleaje
Hongera kwa hilo mkuuMkuu sahivi naendelea vyema kabisa baada ya kutumia zile dawa kwa kiasi kikubwa nimeona mabadiliko makubwaaa
Mkuu umechangia Poa ila naomba nikusahihishe kidogo tu.In the dose of 500mg stat..Ciprofloxacin is effective for management of gonnorhea.Ndo maana kwa regimen za kutibu STI kwa kina mama hutolewa nikiwa ni mchanganyiko Wa Doxycline+ metronidazole pamoja na ciprofloxacin.Fanya hivi nenda hospitali ya rufaa mbeya au ya mkoa uonane na dr ufanyiwe culture/waoteshe mkojo kwenye media ili waone ni bacteria gani ataota wakishaota watatumia hao bacteria kufanya sensitivity test kuangalia ni dawa ipi inaweza kumaliza tatizo hilo na dawa utakayopewa ndio itamaliza tatizo
Kosa
Wewe ulikuwa na dalili za gonococco arthrits ambayo ni ugonjwa wa kisonono(gonnorhea) wakati wanakutibu walikosea kukupa tiba maana ciplo sio rahisi kuondoa tatizo na panadol tuu
Dr wa kwanza kabisa alitakiwa akupe mchanganyiko wa dawa za either
Ciplo7+doxy7+metro5 or sindano spectomycin or powercef 2g stat uendelee na ciplo dox na metr
So kakosea kasababisha wamekuwa sugu sasa fanya culture tuu
TIBA RAHISI YA UTI :
Maji safi ya kunywa glass moja,
Baking Soda (bicarbonate of soda) kijiko kimoja kidogo.
Changanya baking soda kwenye maji glass moja, kunywa asubuhi kabla hujala chochote kwa siku 7.
Thank Me Later!
*NOTE: Tiba hii ni kwa UTI ambayo haijawa sugu.
Hapo kwa kweli sina utaalamu, Subiri wataalamu hapa watakueleza, Ushauri wangu arudi tena kwa daktari wa mambo hayo, nina uhakika solution itapatikana. Hiyo issue ni serious!mkuu ninaswali hapo hapo...mdogo wangu anamaumivi kwenye njia ya mkojo...wamepima mkojo wanadai upo safi hakuna shida yoyote ila analalamika kua kwenye uume kwa ndani (kwenye njia ya mkojo) ni kma vile kuna vidonda ingawa hatoki damu..hospital wamepima hakuna kitu je tatizo linaweza kua kitu gani saha
Hapo kwa kweli sina utaalamu, Subiri wataalamu hapa watakueleza, Ushauri wangu arudi tena kwa daktari wa mambo hayo, nina uhakika solution itapatikana. Hiyo issue ni serious!
Ni vizuri kujaribu kwa daktari mwingine! Mimi ni dada! Karibu!Okay...Asante kaka...nami nimemsahuri km ikiwezekana anende hospital nyingine ingawa nakua na wasiwasi kwakua yeye alienda hospital ambayo ni kumbwa ya Kairuki sikutegemea washindwe kupata majibu ya jambo km hilo
Ni vizuri kujaribu kwa daktari mwingine! Mimi ni dada! Karibu!
Nendeni mkapime VDRL huuenda pia kuna kaswende iko weak pimeni hospital zinazo aminika utajua ila kama una mpezi razima wote mtibiwe hata kama yeye hana dalili lazima atibiwe na uliyewahi tembea nae mwambie atibiwe
Pima vdrl kwenye damu huenda ni stdmkuu ninaswali hapo hapo...mdogo wangu anamaumivi kwenye njia ya mkojo...wamepima mkojo wanadai upo safi hakuna shida yoyote ila analalamika kua kwenye uume kwa ndani (kwenye njia ya mkojo) ni kma vile kuna vidonda ingawa hatoki damu..hospital wamepima hakuna kitu je tatizo linaweza kua kitu gani saha
Pima vdrl kwenye damu huenda ni std
Mara nyingi hizi antibiotics za kiphamasia zinauwa mpaka wale normal flora sasa ndomana unakuta MTU analalamika uti sugu Mara fangasi sugu, natural remedy ndo mpango mzima, hizi dawa ospitali unawwza kumeza mpaka mwili unuke dawa na usiponeUnajua mkuu wakati mwingine hizi khali zinachosha saana, mtu unaenda hospitali nne tofauti wanakwambia ugonjwa mmoja wanakupa dawa hospitali nyingine sindano na dawa lakini unapona tu unapotumia zile dawa ukiacha khali inarudi.
Hali hii inaumiza ukifikiria khali ngumu ya kiuchumi japo afya zetu tunazipenda ndio vile tunajitahidi kwenda hospitali tofauti tofauti.
Lakini nashukuru dawa nilizotumiaa za asili ziMenionesha matokeo fulani walau sasa naweza kusema kwa 90% ugonjwa umeisha nimebaki kusikia maumivu kidogo saana wakati wa mkojo wa kwanza wa asubuhi,
kwakua yule mtu alisema nimuone nikimaliza dozi basi ntakwenda kumuona
All in all nawapenda bure jamii forum hamjawahi niangusha ushauri wenu umenifungua mengii[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kweli mkuu tenaa umenikumbusha kitu nilipima pia nikaambiwa nna fangasi na amoeba ngoja nikaitafute dawa ya asiliMara nyingi hizi antibiotics za kiphamasia zinauwa mpaka wale normal flora sasa ndomana unakuta MTU analalamika uti sugu Mara fangasi sugu, natural remedy ndo mpango mzima, hizi dawa ospitali unawwza kumeza mpaka mwili unuke dawa na usipone
Pole sana mkuu, mtafute huyu muudum anaweza kukusaidia, ila anatumia natural remedy kama utakubaliana Nazo, maana aliwahi kumtibia rafki angu. No yake,0758157247Maana nasikia bado muwasho njia ya haja kubwa afuu ni kama siku za karibuni choo kina harufu kali than normal