Huyo Agent wako nae mie namshaka nae.
We Agent gani anashindwa kukusaidia Customer wake kesi ndogo kama hii.
Mie gari yangu ya mwanzo nilinunua hapahapa,na ya pili hapahapa kukwepa huu usumbufu.
Nikinunua ingine ndio nafikiria kuagiza,maana gari ya mwanzo roho juu,maana hapo haiafikla ila sipati picha moyo wako siku ya kuiona itakuwaje,either furaha au msiba mwingine.
Hili tatizo mwenye uwezo wa kukusaidia ni Agent wako,pesa sio lazima u deposit on Cash,huu mfumo haupo kabisaa.Unaweza ku deposit kwa mfumo wowote muhim pesa zimeingia kwenye account.
Tatizo hizi kazi siku hizi ujanja ujanja mwingi sana,na baadhi ya Agents wanakuwa wanahusika pia.