Msaada: Kuhusu usahili wa special course jwtz

Betason

JF-Expert Member
Feb 2, 2015
352
585
Wakuu kwa wale wenye taarifa ni lini usahili wa special course unafanyika pale makao makuu naomba anijuze

kama kuna updates zozote naomba kujulishwa

shukrani.
 
special course ndo zikoje fafanua wanajamvi nasie tunafaike ndugu

mkuu kwa watu kama madaktari huwa wanaenda kozi ya oficer cadet moja kwa moja monduli kwa muda wa moezi tisa huwa hawapiti jkt...nadhani ndio tafsiri hasa ya special course
 
mkuu kwa watu kama madaktari huwa wanaenda kozi ya oficer cadet moja kwa moja monduli kwa muda wa moezi tisa huwa hawapiti jkt...nadhani ndio tafsiri hasa ya special course
Officer Cadet ni Course ya Miezi 12 isiyo na Likizo yenye nadharia na mbinu za Kimedani
 
mmh..haya mambo kwa kweli yanawachanganya sana watu...mara huyu lazima upitie jkt huyu mwingine anakuambia cyo lazima upitie
 
wakuu kwa wale wenye taarifa ni lini usahili wa special course unafanyika pale makao makuu naomba anijuze

kama kuna updates zozote naomba kujulishwa

shukran.
Unajuwa jeshi limebadilika sana hizo habar zilikuwepo na walikuwa wanafanya refresh coz pale kunduch au kule zenjji chukwan miez mitatu then unaenda cadet coz ya nyota na ukimaliza kama degreee unapewa nyota mbili ila nw hiyo ishu haipo. Ila mwez wa tano mwaka huu kuna coz kama hiyo unayoisema wanaenda kupiga pale msata na hawatapewa nyota hiyo ni kwa watu waliokuwa wanafanya kazi ndani ya jeshi bado raia ndio wanaenda ili wawe jeshi. Kama wew ni dokta na unapenda jeshi nenda jkt wew utakuwa wa togaut sana na hata wakija kuchukuwa jwtz wew utakuwa watu wa mwanzo jwtz inawasamin sana wataalam hasa wa afya
 
Back
Top Bottom