Msaada kuhusu urijali

Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
2,956
6,331
Habari wataalamu,

Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo, imewahi kunitokea kama miaka miwili iliyopita, uume uligoma kusimama wakati wa tendo la ndoa, hali hiyo ikadumu kwa wiki mbili mfululizo. Ilikuwa nikitaka kufanya tendo hilo nailazimisha kusimama na kuidumbukiza kwa haraka ili isilale, kinyume na hapo inalala, na nikishaanza tendo ilikuwa ni lazima nijishughulishe mwanzo mwisho, yani nje ndani mpaka nimalize; bila hivyo inalala.

Baada ya muda hali hiyo iliisha nikarudi kawaida kabisa. Sasa wiki iliyopita tatizo limekuwa ni kwamba, uume hausimami vizuri kama kawaida, yaani unakuwa kama unapata nguvu na kuishia njiani, unakuwa lege lege na nawahi kufika ikiwa pia kufika kwangu kumekuwa kwa kawaida sana kiasi sifurahii.

Nina tatizo la kuumwa mgongo muda mrefu, niliambiwa nina tatizo kwenye L3/L4 Lumbar(nadhani ni vipingili vya uti wa mgongo karibia na makalio). Ni zaidi ya miaka 10 napata maumivu hayo. Pia huwa naumwa tumbo chini ya kitovu mara kwa mara.

Naomba msaada niweze kuondokana na shida hiyo kubwa ya uume kutosimama vizuri kama zamani, na ikiwa hayo niliyotaja hapo kama yanaweza kuwa chanzo cha tatizo?

Nimewatag wachache kwa niliokumbuka, tafadhali nyote mjongee kunisaidia.

Asanteni.
 
pole sana kijana kwa tatizo hilo ushauri wangu kwa sasa ni kukuitia watu wazima wenye ushauri wa maana a na si masihara na namwita kwako sasa si mwingine ila niiiiiiiiiiii
mr MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Habari wataalamu,

Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo, imewahi kunitokea kama miaka miwili iliyopita, uume uligoma kusimama wakati wa tendo la ndoa, hali hiyo ikadumu kwa wiki mbili mfululizo. Ilikuwa nikitaka kufanya tendo hilo nailazimisha kusimama na kuidumbukiza kwa haraka ili isilale, kinyume na hapo inalala, na nikishaanza tendo ilikuwa ni lazima nijishughulishe mwanzo mwisho, yani nje ndani mpaka nimalize; bila hivyo inalala.

Baada ya muda hali hiyo iliisha nikarudi kawaida kabisa. Sasa wiki iliyopita tatizo limekuwa ni kwamba, uume hausimami vizuri kama kawaida, yaani unakuwa kama unapata nguvu na kuishia njiani, unakuwa lege lege na nawahi kufika ikiwa pia kufika kwangu kumekuwa kwa kawaida sana kiasi sifurahii.

Nina tatizo la kuumwa mgongo muda mrefu, niliambiwa nina tatizo kwenye L3/L4 Lumbar(nadhani ni vipingili vya uti wa mgongo karibia na makalio). Ni zaidi ya miaka 10 napata maumivu hayo. Pia huwa naumwa tumbo chini ya kitovu mara kwa mara.

Naomba msaada niweze kuondokana na shida hiyo kubwa ya uume kutosimama vizuri kama zamani, na ikiwa hayo niliyotaja hapo kama yanaweza kuwa chanzo cha tatizo?

Nimewatag wachache kwa niliokumbuka, tafadhali nyote mjongee kunisaidia.

Asanteni.

Unashare da same prblm na mshkaji wa krbu sana ye alishaenda hadi ughaibuni kutbiwa na alochoambiwa kkbwa ni afanye mazoez madgo mdgo mngi sana ila yacwe ya kumuumza na kula vyakula ambavyo huongza virility ya mwanaume na matunda mengi sana
 
Back
Top Bottom