kwa anayefahamu program ya kufanya download ya ios i resume pale ilipoishia maana ukubwa wake ni 1gb ukianza kudownload kupitia itunes net ikikatika hata kam imefikia 899mb ikianza inaanza na moja haiendelei na pale ilipoishia sasa inakuwa ni shida!