Msaada kuhusu University of Iringa

Msaada kuhusu University of Iringa

Wanajamii, msaada naomba kufahamu UoI (University of Iringa) ni chuo kizuri kwa course ya BBA?
University of Iringa (UOI) Wako Vizuri Sana Kwa Hiyo Course ya BBA na hata kwa Course Nyingine katika Kitivo cha Biashara na Vitivyo Vingine Pia... Mimi Nimesoma UoI kwakweli wako vizuri Sana na ninajivunia sana Kuwa Alumni wa UoI.

Nenda Kasome Pale Hakika Utapata Elimu Bora Bila Utata.
 
Sasa mkuu ulikua unafanya application wakati hujui chochote kuhusu chuo na course zake?

Hivi vitu ni vyema mfanye mapema sana kabla hata ya kufanya application!
Tisha sana mwamba, bonge 1 la point!. Hii inabidi aichukue km point ya kujifunza ili next time wawe wanajpanga
 
Chuo cha Iringa ni kizuri sana, changamoto ya Iringa ni 'Umalaya' uliokubuhu kwa wanachuo na wasio wanachuo, ila siwalaumu si kwa baridi ile.

Bt chuo kipo poa sana. Andaa 'ndom' za kutosha.
 
Back
Top Bottom