Msaada kuhusu ujauzito na dawa za minyoo

Beutyqueen

New Member
Mar 16, 2017
2
0
Habari wapendwa
Nligundulika nna minyoo na UTI kisha nkapatiwa dawa, bt kabla ya kupewa dawa hzo nlipimwa ujauzito kwani hzo dawa haziruhusiwi kutumia mjamzito ila nlivopima haukuonekana (nahis ilikua ni siku chache baada ya kuconceive) kwahyo nlipewa dawa hzo nkatumia, sasa baada ya wk2 nkaanza kusikia dalili za kichefuchefu kupima mimba nmekuta nnayo..... Hofu yangu ni kwamba zile dawa nlizotumia haziwez kuwa na madhara kwa ujauzito wangu? Na nini nifanye kuzuia madhara?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom