Beutyqueen
New Member
- Mar 16, 2017
- 2
- 0
Habari wapendwa, naombeni mnisaidie nligundulika na minyoo na UTI nikapewa dawa lkn kabla sijapewa nlipimwa ujauzito haukuonekana (nahs ni siku chache baada ya kuconceive) ndo nkaruhusiwa kutumia dawa hzo kwan hawaruhusiw wajawazito kutumia hzo dawa, ila baada ya wk2 nlianza kuona dalili za mimba na nmepima nmejikuta kweli ni mjamzito..... Sasa hofu ya angu ni kwamba dawa zile nlizotumia hazitokua na madhara kwa kiumbe aliopo tumboni?