Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

capitalcity

Member
Sep 9, 2017
40
35
Habari wana JF,

Kwa muda sasa huu ugonjwa unaniletea shida japo nimejaribu kutumia dawa mbali mbali za hospitali na za asili lakini bado kwa kiasi fulani hali sio nzuri.

Nataka kujua kama ipo dawa ambayo inaweza kutibu hili tatizo kwa asilimia 100, na Je, huu ugonjwa unatibika na kuisha kabisa au dawa nyingi zilizopo zinasaidia kutuliza tu mashambulizi na sio kutibu kabisa?
 
Umetumia madawa mengi ya hospital na asili lkn bado.

Embu kajaribu hii home remedy .

Chukua Bamia mbili au tatu , zioshe then zikate mkia na kichwa , alafu chukua glass ya maji ziweke kisha zifunike , asubuh ukiamka kunywa hayo maji yake.

Alafu andaa tena zakushinda utakazokunywa usiku kabla ya kula !!.

So doz yet iwe asub glass moja usiku glass moja.

Sharit bamia zikae kwa hayo maji for 9-12 hrs!!

Naamin utakuja kutoa maendeleo !!.

Pole sana !!.
 
Shukrani Ndugu kwa maelezo na inatakiwa kutumiwa kwa kipindi cha muda gani..?
 
Vyanzo vya ugonjwa wa pumu inawezekana umerithi kwa wazazi genes ( internal factors)au una allergy na pollution ya maua vumbi au mbwa na paka (external factors).

Pumu inaweza kuwa controlled hasa ukizingatia matumizi ya dawa pia ukifahamu factor ya pumu zako.

Pumu isipokuwa controlled inasababisha Chronic Obstruction Pulmonary Disease hii condition haiponi na unakuwa na matatizo ya kupumua, mwili una retain carbon monoxide kwakweli ni ugonjwa mmbaya ingawa unakuwa controlled na dawa
 
Shukrani Ndugu kwa maelezo na inatakiwa kutumiwa kwa kipindi cha muda gani..?
Hii ndugu sio kama INA muda malumu , siunajua hizi home remedy tunazigeuzaga km sehem yetu.

Naomba uitumie Utakapoona sasa uko fiti ,utaiacha,, hakika inafanya kazi na Mungu atakusaidia .

Embu ifanye kua ndo km maji yako/au juice ,ila tumia asubuh na usiku.

Zile tabu za mara kwa Mara zitakata Mara moja , na unavyotumiaaa zaidi ndo inasaidia kuondoa tatizo !.

So tumia ,then utakua unani PM maendeleo Ndugu.
 
Vyanzo vya ugonjwa wa pumu inawezekana umerithi kwa wazazi genes ( internal factors)au una allergy na pollution au mbwa na paka (external factors).

Pumu inaweza kuwa controlled hasa ukizingatia matumizi ya dawa pia ukifahamu factor ya pumu zako.

Pump isipokuwa controlled inasababisha Chronic Obstruction Pulmonary Disease hii condition haiponi na unakuwa na matatizo ya kupumua, mwili una retain carbon monoxide kwakweli ni ugonjwa mmbaya ingawa unakuwa controlled na dawa
Huu ugonjwa sio mzuri hata kidogo, sijajua kama ni yakurithi maana wazazi hawana kabisa ila bibi mzaa baba ndo alikuwa nayo, wakati niko mdogo ilikuwa inanitesa sana nilikuwa nachomwa sana sindano ila angalau nlipokuwa mkubwa kiasi sindano nikaachana nazo na nikawa natumia dawa za kawaida za kuzuia attacks (aminophiline na salbutamol) na nikapewaga INHALER lakini nikaja achana nayo pia kwani nilishauriwa sio nzuri ikizoea mwili. Pia huwa hainaga msimu jua linaweza kuwa kali na ukaumwa na unaeza kaa kwenye baridi hata mwezi na nisiumwe kabisa, last time niliambiwa na doctor kuwa nina allergy na vitu vyenye harufu kali (nyembamba ikiwemo vumbi) so, hizi perfume, body spray na sabuni zenye harufu huwa sizitumii kabisa na baaadhi ya vyakula kama samaki (mfano. kamba). Sijajua hii ya kwangu iko kwenye stage gani kwani ninaweza kaa hadi miezi 2-3 sijaumwa na dawa kubwa ninazotumia ni hizo aminophiline na salbutamol na amoxiline pia zikiambatana na dawa za dukani za maji ambazo ni herbal. shughuli zingine nafanya bila tatizo, nacheza mpira japo sio sana na mazoez madogo madogo nafanya bila shida
 
Hii ndugu sio kama INA muda malumu , siunajua hizi home remedy tunazigeuzaga km sehem yetu.

Naomba uitumie Utakapoona sasa uko fiti ,utaiacha,, hakika inafanya kazi na Mungu atakusaidia .

Embu ifanye kua ndo km maji yako/au juice ,ila tumia asubuh na usiku.

Zile tabu za mara kwa Mara zitakata Mara moja , na unavyotumiaaa zaidi ndo inasaidia kuondoa tatizo !.

So tumia ,then utakua unani PM maendeleo Ndugu.
Aisee nashukuru sana ndugu nitafuatilia na kuangalia maendeleo bila kusahau mrejesho pia.
 
Mkuuu ,usisahau ,bamia ukishatumia ,unazitupa ,,yaaan usirudie kutumia bamia izo izo kwa asubuh na usiku.

Za asubuh niza asubh utazitupa.

Kisha zausiku nizausiku pia
 
Kwa glass saizi nazile zazaman za chuma tumia bamia tatu . ili tupate mchanganyiko mzur.,, ukishatia ,funika ,weka hata chini ya uvungu ziache zitulie...ukiamka , kunywa yale maji yake zenyewe utatupa.

Mimi sina PUMU ila bamia nazitafunaga sana ivo ivo mbichi au kama ivo ,, bamia nidawa yamagonjwa mengi sana ikiwemo PUMU.
 
Nimekuelewa Vyema Ndugu, mapema nitaanza kutumia hii dawa naamini itanisaidia pia.
 
Umetumia madawa mengi ya hospital na asili lkn bado.

Embu kajaribu hii home remedy .

Chukua Bamia mbili au tatu , zioshe then zikate mkia na kichwa , alafu chukua glass ya maji ziweke kisha zifunike , asubuh ukiamka kunywa hayo maji yake.

Alafu andaa tena zakushinda utakazokunywa usiku kabla ya kula !!.

So doz yet iwe asub glass moja usiku glass moja.

Sharit bamia zikae kwa hayo maji for 9-12 hrs!!

Naamin utakuja kutoa maendeleo !!.

Pole sana !!.
Ngoja nifanye kumwambia sister atumie hiyo kitu maana inamtesa mpaka inafika wakati unamuonea huruma....
 
Ngoja nifanye kumwambia sister atumie hiyo kitu maana inamtesa mpaka inafika wakati unamuonea huruma....
Daah pole sana mkuu na pole kwa Dada !!.

Embu naomba usiishie kumwambia ,hakikisha anaanza kutumia !!

Jitahidi sana ,haya masindano hayafai yanawapa unafuu wamuda mfupi mfupi.. .mwambie ajitahidi aanze , ili kukata tabu zake zamara kwa Mara , alafu pia bamia kwa Wanawake NIMUHIMU KTK MAMBO MENGI SAN.

so itakua inamsaidia ktk PUMU simultaneously inamsaidia mambo mengine mwilin..

Nirahis,, haina garama ,haina maumivu , na Inaokoa ,taratib taratibu anajikuta kapona !! Naikiwezekana Asiache kutumia hii kitu .
 
Back
Top Bottom