SAIZI YANGU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 381
- 83
Nilinunua TV aina ya LG (LED) 47 Inch tokea mwaka February, 2012. Nimeitumia vizuri tu lakini ilipofika March 2013 ikaanza ugonjwa ambao mpaka leo unaendelea.Ukiiiwasha na kutumika kwa muda kama wa masaa mawili, inakata picha ila sauti inaendela kama kawaida. Ukiizima na kuiwasha, inaonesha kama kawaida. Wakati mwingine hukatika hata baada ya nusu saa. Naombeni msaada wenu:
1. Tatizo nini ni?
2. Hapa Dar ninaweza kuipeleka kwa mafundi gani wakaitengeneza vizuri ukichukulia kuwa kipindi cha guarantee (mwaka mmoja)kilikwishapita.
Ningekushauri uende kwa wakala yeyote wa LG aliyekaribu nawewe atakusaidia kukwambia service centre yao iko wapi,then hata kama mda wa warranty ukiwa umeisha unaweza watumia walewale mafundi wao kukutengenezea kwa kuwalipa pesa, manake wale mafundi wa kampuni huwa atleast wanajua wanachokifanya..
ulinunuwa wapi?
jaribu kucheki distance uliyoweka btwn a wall. matobo ya kupumulia ksma yapo nyuma kabisa siyo kwa juu jaribu kuisogeza mbele or yo need an a/c itakuwa inapata moto.
jaribu hilo ikishindikana nitakupa number ya technician bt wa samsung humuombe msaada anaweza kukusaidia.
Labda kuna mtoto alibadili settings.Aliweka tv izime kila baada ya muda fulani,inaitwa sleeping mode,hebu cheki.
Zima hilo dude kwa zaidiy a dakika tano ukiwa umechomoa waya kabisa ya umeme ndio njia ya kureset haya ma tv ya LG.. then washa, tatizo likiendelea basi zima tumia blower kulipuliza, likigoma tena basi peleka service centre kuna capacitors flani hua zinapenda kuungua sana kwenye hizi LG TVs hiyo case yako si ya kwanza, nyingi sana zimekua na tatizo hilo...
Ntakushauri uwasiliane na LG wenyeweNashukuru sana mkuu. Nimejaribu lakini inaonekana lazima nipeleke kwa fundi, tatizo fundi gani wa uhakika?
Ntakushauri uwasiliane na Samsung wenyewe
Haha Sorry bna, watafte LG, nilikua nasoma article kuhusu samsung kwenye internet wakati nareply nikachanganya mafileHivi Samsung ndiyo hao hao LG?
Haha Sorry bna, watafte LG, nilikua nasoma article kuhusu samsung kwenye internet wakati nareply nikachanganya mafile