Msaada kuhusu TV LG (LED) 47 Inch

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
381
Reaction score
83
Nilinunua TV aina ya LG (LED) 47 Inch tokea mwaka February, 2012. Nimeitumia vizuri tu lakini ilipofika March 2013 ikaanza ugonjwa ambao mpaka leo unaendelea.Ukiiiwasha na kutumika kwa muda kama wa masaa mawili, inakata picha ila sauti inaendela kama kawaida. Ukiizima na kuiwasha, inaonesha kama kawaida. Wakati mwingine hukatika hata baada ya nusu saa. Naombeni msaada wenu:
1. Tatizo nini ni?
2. Hapa Dar ninaweza kuipeleka kwa mafundi gani wakaitengeneza vizuri ukichukulia kuwa kipindi cha guarantee (mwaka mmoja)kilikwishapita.
 
Hilo tatzo linatokea sana kwa hizi tv flat ni kwamba kna baadhi ya relay ndan zikipata sana moto zinazima mpaka zipoe ndo zinafungua waone mafundi tv
 
Nashukuru sana kaka. Ila tatizo sijajua ni mafundi gani ambao wanaweza kufanya kazi hii vizuri sitaki kwenda kwa fundi ambaye atajifunzia kwenye TV yangu.

Hilo tatzo linatokea sana kwa hizi tv flat ni kwamba kna baadhi ya relay ndan zikipata sana moto zinazima mpaka zipoe ndo zinafungua waone mafundi tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…