Wakuu, watalaam wajuzi wa hii app ya kuchat, naomba kujua kama mtu anaweza kupitia internet akapiga chabo chati zangu. Nazani nimeeleweka kama inawezekana kupigwa chabo mnanishauri nini
Instant messaging Apps now zipo very secured. hakuna mtu anaweza kutemper na kuingilia mawasiliano yenu. Kuna hii technology ya End to End Encryption ina secure mawasiliano ya Node and node or user and user bila kuwa na loop hole between
so Relaxy. you are very secured