Msaada kuhusu tecno phatom

sumaphd

Member
May 28, 2014
13
2
eti tecno phatom A inauwezo mzuri wa kupiga picha ucku na mchana na ikawa kama imepigwa na galaxy au iphone?
 
mimi ninatumia tecno, lakini huwezi kulinganisha camera ya iPhone na Samsung hata kidogo. unaweza kulinganisha camera ya tecno na ya samsung lakini sio iPhone,,,,
 
Tecno P3 haitoi picha nzuri usiku na ina flash , imenitoa imani kabisa kununua tena tecno .
 
huwa kikawaida simu inayopiga picha nzur za usiku haitumii flash. Always flash inaharibu picha sio kwa p3 tu hata kwa simu kubwa kama s5. Ili simu itoe picha nzur usiku inabidi iwe na kitu kinaitwa optical image stabilization ambayo huingiza mwanga mwingi kwenye camera hata kama eneo lina mwanga mdogo
 
Hakika tecno sidhani kama ina hiyo kitu na kama ipo inauwezo mdogo sana , maana usipopiga na flash then "what you see(dark) is what you get".
 
Mkuu kama uwezo wako unaweza kununua Tecno nunua. Ila kamwe usinunue Tecno kwa kusema itafanana na IPhone au Samsung..
 
Back
Top Bottom